! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

ALL-KENYANS - Topics

* ALL-KENYANS > Topics


Subject: Ujinga ni...
Replies: 16 Views: 5263
1-> 7->>

mwenyeji 11.09.11 - 08:53pm
Discuss...

Ujinga ni kueka sura ya kazi na uko jobless.
Ujinga ni kulala njaa na uko na manzi ameiva kwa bed.

*

mwenyeji 11.09.11 - 08:59pm
Ujinga ni kuambia kiwete akanyagie story. *

mwenyeji 11.09.11 - 09:02pm
Ujinga ni kudhani WESTERN UNION ni chama ya waluhya. *

kanono 12.09.11 - 05:56pm
Ujinga ni kupata mende kwa nyumba ya kidum *

pinchz98 12.09.11 - 06:01pm
Ujinga nikutembea mguu tupu na manzi yako ni kiatu.pahahahest *

mwenyeji 12.09.11 - 06:02pm
Ujinga ni kutembea mguu chuma na manzi yako ni kiatu. *

pinchz98 12.09.11 - 06:03pm
Ujinga nikudhani burning spear ni bro ya britney spears and shake spear ndo baba yao. *

1-> 7->>


* Reply
* ALL-KENYANS Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* ALL-KENYANS (8)

Custom Search