You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
Subject: Je yawezekana loving this way?
Replies: 5 Views: 2171
agrey87 18.07.08 - 10:44am
Je inawezekana kumpenda mtu bila kuonana naye? Kwa kuchat naye au kuongea naye kwenye simu na kuwa wapenzi? Unasemaje? *
eliufoo 22.08.08 - 11:18pm
Inawezekana ilamapenzi ya kiivyocyo mazuri *
jojumi 18.08.10 - 07:19am
hamna ki2 kama iko buddy...uko kudanganyana 2...u knw wat,wajuzi wa mambo wanakwambia''first eyez admire,then heart desire...upo apo mpenzi.?? *
catlinb 25.02.11 - 02:35pm
yawezekana bila ubishi...... *
kkaayy44 17.02.12 - 12:12am
Inawezekana au kutowezekana ila cku mtakapoonana ndio ukweli unapokuwa kichwani *
sizakom 6.03.12 - 09:52am
Inawezekana,coz lafudh na saut au jina pia,jina laweza kumvutia m2. *
BongoTz-chatroom (8)