! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

MAWAZOYANGU - Topics

* MAWAZOYANGU > Topics


Subject: TANZANIA SASA KTK HARAKATI ZA
Replies: 0 Views: 728

mrimbeni 21.07.10 - 01:22pm
TANZANIA NCHI YA AMANI KAMA INAVYOJULIKANA. Lakini mimi nataka kuuliza jamani hii amani inayo zungumziwa niyanamna gani?. Wakat wa2 nimaskini tena fkara.2narasilimali za aina nyingi sana. MADINI,samaki. Misitu,wanyama.lakini watanzani wanahali mbaya sana kana kwamba wako kwenye nchi ya mabomu. LAKINI CHAKUSHANGAZA HAO HAO WTZ WANAMCHAGUA YULEYULE KIoNGOZI ALIYEBORONGA MIAKA MITANO ILIYOPITA. Sasa tatizo nini hasa?. Je wananchi wanapopiga kura huwa zinafanyiwa wau2nduuu?. Mimi nashindwa kuelewa kuna kipindi itafikia tanzania itakuwa mara mbili. Wasio kuwa nazo na ambao wanazo mikwanja. *


* Reply
* MAWAZOYANGU Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* MAWAZOYANGU (8)

Custom Search