! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

mrimbeni - Topics

* mrimbeni > Topics


Subject: UCHAGUZI MWAKA 2010 TANZANIA
Replies: 1 Views: 1990

mrijomvu 12.12.09 - 04:45pm
jamani hapa tanzanza panashangaza ktk upigaji wa kura .mgombea urais anapogombea kweli utamuo ni mwema sana lakini akishapata Urais Hakika wananchi mtalia Mtajuta kwanini tulimpa kura zetu. JAMANI IFIKAPO MWAKA KESHO WATANZANIA TUWE MAKINI. *

mrimbeni 3.11.10 - 08:22pm
NAKWELI IMEFIKA MWAKA MWEZ TENA SIKU YALEO.
Tar.31mwez 10 year 2010
Uchaguz tumeufanya kwa nia njema haswa vijana kwani mwaka huu vijana waekuwa na mwamko mkubwa sana ktk kila mkoa na wamepiga kweli kura waliomchagua namempata. *


* Reply
* mrimbeni Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* mrimbeni (8)

Custom Search