! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

Katikabase - Topics

* Katikabase > Topics


Subject: w'sup?
Replies: 11 Views: 2395
1-> 7->>

2smoky 17.12.09 - 08:52pm
kwani huku watu hawaongeangi? ama ni venye nyi ni maboy, too cool to talk, eh? ..I dare you guyz 2 post a comment.. c'mon.. you knw you wnt to.. *

mozartk 17.12.09 - 09:33pm
sa hi tuko muguka,bangi na muratina.pengine ndio maana hatubongi.zimetusho twilight zone(meditation) *

2smoky 17.12.09 - 09:41pm
Muratz? wapi? mi huenda hotel accra.. *

mozartk 17.12.09 - 09:46pm
achana na ya jiji.hiyo ni juice.sisi huenda Thika.ya huko ni mwenda,imewekwa madawa ndio ikurunde visirias *

2smoky 17.12.09 - 09:58pm
Thika, eh? na mnaendaga mkiwa na hawa wengine pia? kwani washa k.o ama wamelala kama watoto wazuri ndio wasidoze class ksho? :) *

mozartk 17.12.09 - 10:02pm
si raia yote imekam na wenye nko nao wako mandukulu vibaya.kuna mmoja zimemsho ateke huyu matha anatukindia *

2smoky 17.12.09 - 10:08pm
he he he.. watoto siku hizi!? hebu uwasho wajitokeze kesho wajisemee walikuwa wakifanya nini..? *

1-> 7->>


* Reply
* Katikabase Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* Katikabase (8)

Custom Search