! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

h0tD3sire - Topics

* h0tD3sire > Topics


Subject: Mchongoano!x
Replies: 17 Views: 3849
1-> 7->>

jcrazy1 27.07.09 - 11:21am
...lets get thos ribs crackn!x..u chongoa mi i chongoa u! *

jcrazy1 28.07.09 - 08:53am
...@members,nyinyi ni dunder,mlibeba mwakenya blood test!lmao.GIF. *

hunkcake 19.08.09 - 12:59pm
we ni mnono hadi ukiingia room unaka next to evribody *

jcrazy1 21.08.09 - 06:42am
...@hun we ni fala tu sana, ukidunga xams solo unakuwa namba 2 outof 1. *

natale 27.09.09 - 05:10am
J we ni mnoma hadi ukila mahindi unashuta unga *

jcrazy1 9.10.09 - 11:29am
...@nat, we ni fala mpaka unashindwa kuthink twice! *

ruzzoh 24.12.09 - 06:00am
Jcrazy wewe ni mnono ukivaa nguo ya red unakaa coca cola shop,ukivaa green unakaa safaricom outlet/M-pesa,na ukivaa yellow unakaa kama lori ya tusker. *

1-> 7->>


* Reply
* h0tD3sire Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* h0tD3sire (8)

Custom Search