! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

GODYENTERTAIMENT

Star GODYENTERTAIMENT
GODY WA UKWELI

Group Founder: godfreyjoseph
Description: Kama kawa hii entertaiment inahusika na masuala ya music kama vile kuandaa shoo za wasanii na matamasha mbalimbali entertaiment hii ni changa na makao yake yako Mwanza wilaya ya sengerema jimbo la Buchosa chini ya mkurugenzi kiongozi Godfrey.j.Nundi family mkurugenzi anawaomba wadau wote wa music nchini Tanzania kusaidia msaada wa hali na mali ili kuisaidia entertaiment hii kufikia malengo yake na pia inatarajia kuanzisha mchakato wa tamasha la kusaka vipaji litakaloitwa (BUCHOSA MUSIC STAR SEACH) kama una swali lolote kuhusu GODY ENTERTAIMENT follow me kwa facebook Godfrey joseph kwa E-mail:(Godfreyjoseph311@yahoo.com) na pia nitafute kupitia namba za simu:0754202895
Group Type: Public join
Members: 1
Category: Music > General

Custom Search