You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
From: gme111
Subject: Tudumishe kiswahili
----------
Mtandao kitu chuma, ndugu zangu nawanena, watuwezesha kusema, na ulimwengu mzima, pasi hata kizuizi,watu wanafamiana, huu tumiapo vema, matunda utayaona, sina mengi ya kunena, ninawatakia mema.
1.11.12 - 12:35pm
[reply]
[go to reply]
[go to topic]
8 International Forum
9 Forum Index