! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

Tudumishe kiswahili - Page 1/3

Subject: Tudumishe kiswahili
Replies: 15 Views: 1745
> »
gme111 27.10.12 - 03:44am
Kiswahili yangu lugha, haki naitangaza, mataifa kuyajuza, utamu wa kiswahili, hakika hii ni lugha, mfanoe sijaona, tujifunze kiswahili, lugha yetu AFRIKA * +

nasibku 27.10.12 - 06:32am
Je, unaweza kuzungumza Kiingereza? * +

gme111 27.10.12 - 06:58am
yes! I was * +

gme111 27.10.12 - 07:04am
am so happy 2 u'r the one who speak kiswahili. * +

nasibku 27.10.12 - 07:58am
Mimi kujifunza lugha ya swahili kidogo tu. Samahani kama ni si nzuri * +

gme111 27.10.12 - 10:48am
ok! It is better 2 learn it. 4 my side am lead 2 help u if u hv any question consain kiswahili coz am a teacher of ordinary level of this language in My nation(TANZANIA) * +

gme111 27.10.12 - 11:28am
Ua hili ua zuri, lenye sifa zote nzuri, nakshi zake zinahali, fulani iliyonzuri, ua hili si kifani, mfanoe sihuoni, wengi mnajiuliza, ua hili ua gani, langu jibu ni jepesi, kiswahili lugha yetu, tudumishe kiswahili, ndugu zangu nawaambia. * +

nasibku 27.10.12 - 11:59am
Mimi furaha kwa kujua kwamba wewe ni mwalimu. Oke, nataka kukuuliza kuhusu swahili * +

> »

Quick reply:

+ go to page 1-3
+ my page
+ functions
3 search
4 submit a reply
7 last page
+ bookmark
8 International Forum
9 Forum Index

Custom Search