! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

Mahusiano - Topics

* Mahusiano > Topics


Subject: Mifarakano katika mapenzi chanzo ni nn
Replies: 2 Views: 1437

mamalisa 8.05.12 - 08:58am
Kila upande umebaki kulaumu upande mwingne luwa siku hz hakuna mapenzi ya kweli. Tatizo liko wapi? Je ktna wasichana au wavulana ambao wana mapenz4 ya dhati? *

chimamy 10.12.13 - 04:30am
HABARI ZENU HUMUNimevutiwa na group hili.nachangia wazo.Tatizo ni kutokuwa waaminifu.mke muongo mume nae muongo hapo hatapatikana upendo wa dhat.Asanten *

chimamy 11.12.13 - 06:34am
Wivu usio na maana nao huchangia kuleta mfarakano.yaani kutoaminiana ndani ya mahusiano pia huleta mfarakano *


* Reply
* Mahusiano Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* Mahusiano (8)

Custom Search