! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

mrimbeni - Topics

* mrimbeni > Topics


Subject: CADEMA CHAMA MAKINI KWA WATANZ
Replies: 3 Views: 1515

mrimbeni 28.10.10 - 09:20pm
CHADEMA CHAMA AMBACHO HAKINA UFISAD WOWOTE. Tofauti na chama tawala .chama cha chadema kina viongoz makini ambao wako mstari wa mbele kutetea maslah ya wanyonge. Kauli mbiu ya chama makini CHAMA CHA CHADEMA NI ILINDE RASILIMALI KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE.. Mta nzania mwenye UFAHAMU MWENYE KUJALI NCHI YAKE, KAMWE HATOACHA KUIPIGIA CHADEMA. Chadema ikiingia madarakani. Itasomesha mtoto wa shule ya awali mpaka 4fm 6 bila ya mwanafunzi kulipa ada chochote .Jamani mwaka huu.2010 tubadilike watAnzania. *

mrimbeni 28.10.10 - 09:22pm
chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeehhh *

mrijomvu 15.11.10 - 07:54pm
hakika ni chama ambacho hakina mafisad kwani ni ukomboz wa wananchi. Hongera chadema kwa kukombo yale majimbo muhimu *

mrimbeni 15.12.10 - 12:11pm
poa kijana usikonde japo wame2chakachua bt 2015 ushindi ni we2 *


* Reply
* mrimbeni Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* mrimbeni (8)

Custom Search