! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.

Uswazi-TANZANIA - Topics

* Uswazi-TANZANIA > Topics


Subject: technology knowledge kutoka kwa mbongo m
Replies: 1 Views: 755

rogasian 30.12.12 - 06:19am
kwa watanzania wenzangu wooote kokote pale....kuna Mtanzania mwenzetu anamtandao wake ambao unafundisha mambo mengi muhimu ya compta kwa lugha ya kitanzania, habr za kuactivate windows, antiviruses, na pia wanatengeneza computer kwa bei ya chini ya kibongo kiswazi, na cmpta yako inakuwa poa xana.....tembelea hapa kujua zaidi www.complexsystem.net

mambo mengne mengi yapoo...twenzetu ukaone mtanZania mwenzetu anavyofanya mambo *

nevoly1510 19.06.14 - 08:35am
Kweli ndugu *


* Reply
* Uswazi-TANZANIA Forum


fav Bookmarks

Search:
topics replies


* Uswazi-TANZANIA (8)

Custom Search